
Msanii mkali wa Hip hop hapa bongo Kala Jeremiah kwa mara nyingine tena kwenye TV zetu, katuletea brand new video ya wimbo wake mpya unaoitwa "Wanandoto" aliomshirikisha mtoto Miriam Chirwa, ukishaitazama hapa chini usiache kutoa neno lako ili Kala na Miriam wakipita hapa baadae waone watu wao wanasemaje kwenye comments. (The hiphop artist from Tanzania Kala...