Tuesday, 26 July 2016

NEW VIDEO: KALA JEREMIAH FT MIRIAM CHIRWA - WANANDOTO!


Msanii mkali wa Hip hop hapa bongo Kala Jeremiah kwa mara nyingine tena kwenye TV zetu, katuletea brand new video ya wimbo wake mpya unaoitwa "Wanandoto" aliomshirikisha mtoto Miriam Chirwaukishaitazama hapa chini usiache kutoa neno lako ili Kala na Miriam wakipita hapa baadae waone watu wao wanasemaje kwenye comments. 
(The hiphop artist from Tanzania  Kala Jeremiah once again on our TVs, he brought us a brand new video of his single called "Wanandoto" meaning "They have dreams" which he featured a disabled child singer also from Tanzania called Miriam Chirwa. After you watch the video do not hesitate to drop your comments below.)

WATCH THE VIDEO BELOW!

0 comments:

Post a Comment