Inawezekana Kabisa Tasnia Ya Muziki Nchini Nigeria Ikaanza Vyema Mwaka 2018 Kufuatia Tofauti Iliyokuwepo Baina Ya Wasanii Kwa Wasanii Pamoja Na Wasanii Kwa Viangozi Wao Katika Lebo Za Muziki.
Mwezi Huu Umekuwa Na Mazuri Na Baraka Tele Ndani Yake Ambapo Tarehe 24 Wizkid Aliandaa Tamsha Liitwalo The Wizkid Concert Huko Eko Nigeria Moja Ya Tamasha Ambalo Lilikuwa Na Makumbwa Mengi Wasanii Mbali Mbali Waliweza Kupanda Na Kubariki Jukwaa Lake Akiwemo Mwimbaji Tekno Ambaye Alipanda Na Kuimba Naye Wimbo Wao Wa Pamoja Uitwao Mama.
VilevilePia Tiwa Savage Alipandishwa Na Wizkid Katika Jukwaa Na Kuimba Wimbo Wa Pamoja Malo Ila Tukio Lililosisimua Zaidi Ni Baada Ya Msanii Huyo Kumpandisha Katika Jukwaa Davido A.K.A Obo Jambo Ambalo Lilizua Shangwe Kubwa Sana Na Wawili Hao Kuimba Wimbo Pamoja Huku Wizkid Akiimba Wimbo Wa Davido Fia Bila Hata Kuuma Neno Jambo Ambalo Lilionyesha Kabisa Hawana Tofauti Tena Kama Ilivyokuwa Mwanzo.

Kupitia Ukurasa Wa Instagram Wawili Hao Waliamua Kufuatana Kupitia Huku Na Hata Kuweka Picha Kila Mmoja Na Kushukuru Kile Kilichofanyika Baina Yao.
Tukio Hilo Liliamsha Hilo Liliamsha Hisia Za Mashabiki Huku Wengi Wakitamani Kuona Hata Tanzania Mambo Yanakuwa Kama Nigeria Baina Ya Diamond Platnumz Na Alikiba.
Lakini Yote Tisa Jana Ilikuwa Ni Siku Ambayo Ni Showa Ya Kwake Davido Iitwayo 30 Bilion Concert Ambayo Ilihudhuriwa Na Watu Kibao Lakini Mkali Huyo Hakuona Shida Kumpandisha Wizkid Katika Jukwaa Lake La 30 Bilion Na Kuimba Wimbo Pamoja.
Baada Ya Hapo Don Jazzy Na D Banj Nao Mapema Leo Wameamua Kuweka Picha Ya Pamoja Ikiwa Ni Moja Ya Watu Walionza Kufanya Kazi Pamoja Lakini Maisha Yalivyosonga D Banj Akaamua Kuondoka Na Kwenda Kivyake Lakini Baada Ya Hapo Kuna Mengi Yalisonga Na Hakukuwa Na Maelewano Mazuri.
Lakini Picha Hii Imedhihirisha Wanafunga Mwaka 2017 Kwa Amani Na Upendo
0 comments:
Post a Comment