Tuesday, 12 December 2017

RAPA WIZ KHALIFA ATAMBA KULA BATA NA MCHUMBA WAKE MPYA


Izabela Guedes Ndiye Mchumba Mpya Wa Rapa Kutoka Nchini Marekani Wiz Khalifa Ambaye Ni Baba Wa Mtoto Mmoja Aliyepata Mtoto Huyo Na Aliyekuwa Mkewe Amber Rose.

Baada Ya Msanii Huyo Ambaye Kwa Sasa Ana Miaka 30 Ameonekana Kufurahia Sana Mahusiano Yake Mapya Na Mchumba Wake Aitwae Izabel Ambaye Ana Asili Ya Nchini Brazil.

Wawili Hao Wameonekana Katika Muonekano Tofauti Tofauti Wakiwa Ufukweni Huko Honolulu Hawaii Huku Pia Katika Picha Akionekana Kuongeza Mwili Jambo Ambalo Ni Lakuvutia Zaidi.

Hizi Ni Baadhi Ya Picha Za Wiz Khalifa Na Mpenzi Wake Izabel 


0 comments:

Post a Comment